Uza Mazao™ Inasaidia Kupanua Biashara Yako

Teknolojia Inaboresha Kufanya Maamuzi

Jukwaa la Uza Mazao™ linajua jina la mkulima, mahali alipo kijiografia, namba yake ya simu, kiasi alicho nacho, bei ya mazao ya shamba na tarehe wanayotaka kuuza mazao yao. Habari zote hizo huingizwa katika mfumo kwa ajili ya kila ombi la mauzo na manunuzi ili kuwezesha kuunganika bora kwa ajili ya biashara.

Tunakusudia kupanua huduma za Uza Mazao TM kutoka katika Nchi za Soko La Jumuiya ya Afrika Mashariki ambazo ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, na Sudan Kusini zifike Afrika nzima (AfCFTA) na Mashariki ya Kati. Maana yake ni kwamba, wewe kama mnunuzi, uwezo wako wa kupata bidhaa zako za mazao ya kilimo, ya shambani na mazao ya mifugo utaongezeka ipasavyo, na kikupa viwango vikubwa sana vya ufanisi na faida kubwa.

Soma Zaidi
Mawasiliano Nasi

App Zetu

App Ya Wakulima

Kwa wakulima wanaotaka kuuza mazao yao kupitia jukwaa na huduma za Uza Mazao™

Pakua Rununu

App Ya Wanunuzi

Kwa wanunuzi wa mazao wanaotaka kutumia jukwaa na huduma za Uza Mazao™

Pakua App

App Ya Wasafirishaji

Kwa wasafirishaji wa mazao yalioandikishwa katika jukwaa la Uza Mazao™

Pakua App
Vipengele

Mambo Makuu Ya Uza Mazao™

Uza Mazao™ ni jukwaa la kipekee la utoaji huduma kiteknolojia lenye kuwaunganisha wanunuzi na mazao ya kilimo na mifugo ambayo ni mapya (si ya jana wala juzi), huku likihakikisha ubora wa kudumu na uwezo wa kufuatilia mazao yote yanoyopitia katika mfumo wake.

Sisi tunaandikisha wanunuzi, wauzaji (wakulima), mawakala wa usafirishaji na watoa huduma wengine kama wavunaji matunda au mboga kuhakikisha upatikanaji wao, nasi tunaweka picha ndogo ya mazao yanayopatikana wakati inapohitajika, katika Afrika Mashariki na karibuni baadaye, katika AfCFTA yote.

Mfumo wa Umiliki

Data inaigizwa katika mfumo wa umiliki kwa vipengele vyoto vya "Maombi ya Kuuza" kwa kila "Ombi la Kununua" ili kupata mechi bora.

Chumba cha Mazungumzo

Watumiaji wanaweza kuzungumza katika muda halisi ili walinganishe bei ambazo wamelinganishwa nazo kwa wakati halisi.