Kuhusu Sisi

Habari Zetu

Uza Mazao™ Inasaidia Kupanua Biashara Yako

Uza Mazao™ ni jukwaa la kipekee la utoaji huduma kiteknolojia lenye kuwaunganisha wanunuzi na mazao ya kilimo na mifugo ambayo ni mapya (si ya jana wala juzi), huku likihakikisha ubora wa kudumu na uwezo wa kufuatilia mazao yote yanoyopitia katika mfumo wake.

Sisi tunaandikisha wanunuzi, wauzaji (wakulima), mawakala wa usafirishaji na watoa huduma wengine kama wavunaji matunda au mboga kuhakikisha upatikanaji wao, nasi tunaweka picha ndogo ya mazao yanayopatikana wakati inapohitajika, katika Afrika Mashariki, na baadaye, katika AfCFTA.


Tofauti ya Mfumo wa Uza Mazao™

  •   Kuna zaidi ya wakulima elfu tatu walioandikishwa toka Afrika Mashariki na idadi inaedelea kuongezeka
  •   Kuna Mifumo ya kuhakikisha ubora
  •   Muunganiko wa mpango wa upatikanaji bidhaa endelevu
  •   Uwezo wa kufuatilia, kujua asili ya mazao na cheti cha kuthibitisha chanzo cha mazao kuanzia kwa mkulima Hadi mnunuzi
  •   Tuna picha ya wakati halisi ya upatikanaji wa mazao katika Afrika Mashariki na karibuni baadaye, katika AfCFTA yote


Manufaa Kwa Mnunuzi

  •   Utaunganishwa vizuri sana na bidhaa bora za mkulima
  •   Sisi tunausika moja kwa moja katika mipangilio na uhakikisho wa ubora
  •   Wakulima wetu wote na wasafirishaji wamejaribiwa, ni waaminifu na wemekaguliwa
  •   Uza Mazao™ hukuunganisha wewe mnunuzi kwa utaratibu rahisi unaoungwa mkono na teknologia ya kisasa kabisa
  •   Uvunaji wa wakati muafaka huhakikisha upya wa mazao mtambuka - mazao, nyama, halal ya kondoo na mbuzi, karanga za kila aina kama macadamia na korosho
  •   Imani kamili kabisa katika mfumo wa upatikanaji wa bidhaa bora wakati wote
  •   Zaidi ya mazao 89 yamo kwenye mfumo hadi sasa – hii huhakikisha bidhaa za aina mbalimbali
  •   Kipengele cha “Ombi La Kuuza” kwa njia ya ujumbe sms na simu janja kwa wakulima huhakikisha uwezo bei za ushindani
  •   Uwezo wa kulinganisha mahali ambapo ombi la kuuza limetoka hutoa nafasi nzuri ya kuchagua umbali wa usafirishaji pasipo kutumia Madalali, kuhakikisha unafuu wa bei kwa mnunuzi na kwa mkulima
  •   Picha yenye uhakika ya upatikanaji wa mazao huondoa mambo ya kubahatisha

Mfumo wa Umiliki

Data inaigizwa katika mfumo wa umiliki kwa vipengele vyoto vya "Maombi ya Kuuza" kwa kila "Ombi la Kununua" ili kupata mechi bora.

Chumba cha Mazungumzo

Watumiaji wanaweza kuzungumza katika muda halisi ili walinganishe bei ambazo wamelinganishwa nazo kwa wakati halisi.

3000+

Wakulima Walioandikishwa

Mshindi

Mshindi wa mashindano ya kwanza kabisa ya diaspora ya Afrika katika U.S.

3000

Wakulima Walioandikishwa

Mawasiliano Nasi

App Zetu

App Ya Wakulima

Kwa wakulima wanaotaka kuuza mazao yao kupitia jukwaa na huduma za Uza Mazao™

Pakua App

App Ya Wanunuzi

Kwa wanunuzi wa mazao wanaotaka kutumia jukwaa na huduma za Uza Mazao™

Pakua App

App Ya Wasafirishaji

Kwa wasafirishaji wa mazao yalioandikishwa katika jukwaa la Uza Mazao™

Pakua Rununu
Kuhusu Sisi

Uza Mazao™ Inasaidia Kupanua Biashara Yako

Timu Yetu

Wafanyao Kazi Nasi

Dr. Raymond Rugemalira

Mwanzilishi na Afisa Mkuu wa Teknolojia

Abdul Bigirumwami

Mshirika na Afisa Mkuu wa Biashara